MAMA WA TAIFA BI RACHAEL RUTO AZINDUA MRADI WA KUPEANA MAZIWA SHULENI KATIKA KAUNTI YA KILIFI

  • | KNA Video
    112 views
    Mama wa taifa Bi Rachael Ruto amezindua mpango wa kupeana maziwa kwa wanafunzi katika shule ya msingi ya Kachororoni eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi. Mradi huo uliobuniwa na Kenya Dairy Board kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa unalenga kufaidi zaidi ya wanafunzi 1,200 katika shule za Kachororoni na Gandini.