Chama cha Maafisa Kliniki chalaumu uvamizi Kitengela

  • | Citizen TV
    266 views

    Chama cha Maafisa wa kliniki kimeshutumu vikali kuvamiwa kwa hsopitali ya kaunti ndogo ya Kitengela hapo jana na wahuni wakati wa maandamano ya sabasaba. Chama hicho kinataka waliohusika na uvamizi huo wakamatwe na kushtakiwa.