Upinzani wataka uchunguzi kuhusu mauaji siku ya Sabasaba

  • | KBC Video
    1,115 views

    Viongozi wa upinzani wametoa wito wa uchunguzi kuhusiana na maandamano ya Saba Saba yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu-10 huku wengine kadhaa wakijeruhiwa. Wakiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua na kinara wa chama cha People’s Liberation Martha Karua, viongozi hao wanamtaka inspekta jenerali wa polisi pamoja na mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai kufafanua madai ya utumiaji nguvu kupita kiasi na maafisa wa polisi waliokuwa kwenye magari yasiyokuwa na nambari za usajili na ambao walifunika nyuso zao kinyume na agizo la mahakama linalowataka kuvalia sare rasmi wanapotekeleza wajibu wao wakati wa maandamano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive