Familia za waliouawa siku ya Sabasaba zalilia haki

  • | KBC Video
    1,480 views

    Baadhi ya familia zilizopoteza wapendwa wao jana wakati wa maandamano ya sabasaba zinadai haki ya maafa hayo yanayodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi. Wanaitaka serikali kusikiliza na kushughulikia malalamishi ya kizazi cha Gen-Z ili kukomesha maandamano ya mara kwa mara. Haya yanajiri huku familia ya Brian Kimutai aliyepigwa risasi na afisa wa polisi katika eneo la Kitengela ikipata afueni baada ya hospitali ya Shalom huko Athi river kukubali kuhifadhi mwili wa mpendwa wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive