Mahakama yawazuia maafisa wa polisi kufunga barabara wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    297 views

    Mahakama kuu jijini Nairobi imemzuia inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja na maafisa wa polisi kufunga barabara za kuingia katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano ya amani. Akitoa uamuzi huo, Jaji Lawrence Mugambi aliwaagiza maafisa wa polisi kukoma kuweka vizuizi hivyo akitaja hatua hiyo kuwa sawa na kuzuia haki ya kukusanyika kwa amani na uhuru wa kutembea kama ilivyobainishwa katika Katiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive