Kenya, Uganda na Tanzania kuzindua cheti maalum cha usafiri kitakacho tumika katika CHAN

  • | NTV Video
    309 views

    Waziri wa Michezo Salim Mvurya amefichua kuwa mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania wamekamilisha mpango wa kuzindua cheti maalum cha usafiri kitakachotumika katika mashindano yajayo ya CHAN

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya