Mziki asili wa jamii ya Mijikenda aina ya Gonda waboreshwa kuvutia kizazi cha sasa

  • | TV 47
    12 views

    Kikundi cha kitamaduni cha Gonda Asili katika kaunti ya Mombasa kimejikita katika kutafuta wazee wa zamani, wanaojua densi asilia, kisha wanaziboresha na kuziwasilisha kwa namna ya kuvutia kizazi kipya.