Kesi za dhulma wamekerwa Machakos

  • | Citizen TV
    16 views

    Visa vya dhulma za kijinsia dhidi ya kina mama wakongwe katika kaunti ya Machakos vimeripotiwa kuongezeka hali ambayo inaonekana kuwakera mahakimu wanaoshughulikia kesi hizo