Mahakama yamtia hatiani polisi Kenya. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    1,363 views
    Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini Kenya ametoa idhini ya kushtakiwa kwa mauaji ya afisa wa polisi anayeshtumiwa kwa kumpiga risasi mchuuzi katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano dhidi ya serikali.