Awaokoa watoto katika ghorofa linaloungua

  • | BBC Swahili
    3,123 views
    Mwanamume mmoja amerekodiwa akisaidia kuokoa watoto katika ghorofa ya sita lililokuwa linateketea kwa moto huko Paris. Hakuna aliyejeruhiwa vibaya katika moto huo lakini walivuta moshi mwingi hivyo kupelekwa hospitali. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. #bbcswahili #ufaransa #ajaliyamoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw