Wanakijiji wafanya maandamano kando ya barabara Kagio, Kirinyaga

  • | Citizen TV
    510 views

    Wanakijiji wa Mukithi katika kaunti ya Kirinyaga wamefanya maandamano kando ya barabara ya kagio kuelekea Kutus wakitaka haki ifanyike kufuatia mauaji ya Jackline Nyawira, msichana mwenye umri wa miaka 21, ambaye alifyatuliwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya sabasaba katika eneo la Githurai. Wakazi wamekasirishwa na kuhangaishwa kwa familia hiyo na maafisa wa polisi ambao hadi sasa hawajatoa ripoti kuhusu kisa hicho.