Matabibu kaunti ya Machakos wasitisha mgomo

  • | KBC Video
    16 views

    Serikali ya kaunti ya Machakos imeafikiana na matabibu kuhusu mwongozo wa kazi na hivyo kuzuzia mgomo uliokuwa umepangwa kuanza saa sita usiku leo.Mwongozo huo, ulioafikiwa baada ya mkutano kati ya serikali ya kaunti na maafisa kutoka chama cha matabibu utashughulikia suala la kupandishwa cheo na kutambuliwa kitaaluma miongoni mwa mengine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive