Wakaazi wametishia kuandamana Jumanne ijayo Nanyuki

  • | Citizen TV
    2,386 views

    Baadhi wa wakaazi wa mji wa Nanyuki wametishia kuandamana Jumanne ijayo, wakitaka kufahamu kilichomkumba Julia Njoki — msichana anayedaiwa kufariki akiwa gerezani baada ya kukosa dhamana ya shilingi elfu hamsini. Njoki alikamatwa pamoja na waandamanaji wengine mjini Nanyuki wakati wa maandamano ya saba saba na alifariki siku chache baadaye akiwa korokoroni.