Biwi la simanzi limetanda eneo la Nyansiongo

  • | Citizen TV
    1,850 views

    Biwi la simanzi limetanda katika eneo la Nyansiongo kaunti ya Nyamira huku familia kadhaa huko Borabu zikiomboleza baada ya watu 8 kuaga dunia katika ajali iliyotokea eneo la Kijauri jana jioni. zaidi ya watu 15 wanaendelea kutibiwa katika hospitali kadhaa huko Nyamira na Kisii.