Raila apinga amri ya kupiga risasi na kusisisitiza sheria ifuatwe

  • | KBC Video
    353 views

    Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesema marekebisho ya katiba ndiyo njia mwafaka ya kuoanisha sheria na nyakati zinazobadilika.Raila anahoji kuwa vijana wanapaswa kutumia fursa hii na kushinikiza kubadilishwa kwa katiba ili kutatua matatizo ya kiuchumi na uongozi na kuboresha taifa hili.Raila amepinga agizo lililotolewa kwa polisi kuwapiga risasi ya mguu waporaji na waandamanaji waliojihami akisema lazima sheria ifuatwe kikamilifu.Giverson Maina anasimulia zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive