Kenya yaadhimisha siku ya kimataifa ya vyama vya ushirika

  • | KBC Video
    38 views

    Vyama vya ushirika vimetakiwa kutumia zana za kidijitali kufanikisha usimamizi bora pamoja na kubuni ushirikiano wa kimkakati, ili kuimarisha mapato yao. Akiongea wakati wa maadhimisho ya 103 ya siku ya Ushirika katika jengo la mikutano ya kimataifa la KICC , waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, alipongeza vyama vya ushirika akisema ni muhimu katika kuafikia maendeleo na kwamba ni nguzo kwenye ajenda ya kiuchumi ya bottom-up.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive