Wakulima wa miwa Busia walalamikia kusimamishwa kwa usagaji wa miwa kwa miezi mitatu

  • | KBC Video
    13 views

    Mamia ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia wanaiomba serikali kubatilisha uamuzi wake wa kusitisha usagaji wa miwa kwa muda wa miezi mitatu.Bodi ya Sukari nchini ilitangaza hatua hiyo ikidai kuwepo kwa uhaba wa miwa iliyokomaa ingawaje wakulima wa eneo hilo wanadai vinginevyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive