Kindiki ashutumu upinzani kwa kuhujumu katiba

  • | KBC Video
    57 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewashtumu vikali wapinzani kwa kujaribu kuisambaratisha serikali na kudunisha katiba. Akizungumza katika kaunti ya Migori, Kindiki alionya kuwa Kenya haitavumilia siasa zinazokiuka sheria, huku akimtetea Rais William Ruto kwa uongozi wake na rekodi yake ya kiuchumi. Kamuche Menza anatuletea taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive