Gachagua apinga wito wa mazungumzo ya kitaifa

  • | KBC Video
    7,796 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali wito wa Raila Odinga wa kufanya mazungumzo ya kitaifa kusuluhisha changamoto za taifa hili, akisema mazungumzo kama hayo yakiwemo yale ya pande mbili yaliyofanywa awali, hayakuzaa matunda. Akizungumza na wakenya huko Seattle, jimbo la Washington, Gachagua alisema Raila alitumia maandamano ya Gen Z kujiunga na serikali na hivyo hafai kuaminiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive