Kindiki akosoa upinzani kuhusiani na IEBC

  • | Citizen TV
    1,322 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amekosoa viongozi wa upinzani kuhusiani na madai kuwa Rais William Ruto ndiye aliyeteua makamishna wa IEBC kwa nia ya kuhitilifiana na maamuzi ya wakenya kwenye uchaguzi wa mwaka 2027. Kindiki amepuuzilia mbali madai hayo akitaka upinzani kujiandaa kwa kivumbi badala ya kutafuta sababu zisizo na msingi.