Begani ya Kwanza ya Hermès Birkin yauzwa kwa Dola Milioni 10.1

  • | BBC Swahili
    2,387 views
    Hivi karibuni mkoba mmoja wa kifahari kabisa kutoka Hermès, Birkin uliweka rekodi kama mkoba wa bei ghali zaidi kuwahi kuuzwa katika historia ya mitindo. Mkoba huo umeuzwa kwa Dola milioni 10, Je ni kwanini mkoba mmoja ufike bei hii ya ajabu? Mwandishi wa BBC @marthasaranga anatupa simulizi iliyo nyuma ya mkoba huu 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #mitindo #hermes Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw