Viongozi wa kidini wahimiza chanjo kwa watoto

  • | Citizen TV
    77 views

    Baraza la muungano wa kidini nchini (IRSK) limeendeleza kampeni ya chanjo kwa watoto dhidi ya Ukambi na Homa ya Matumbo inayotolewa na wizara ya afya