Wakazi wapata fursa ya kujumuika na viongozi wao Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    99 views

    Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia walipata fursa ya kujumuika na viongozi wao na kujadili changamoto zinazowakumba, kupitia kipindi cha Utepeni kinachopeperushwa moja kwa moja na Radio Citizen