Wakazi wajumuika katika ufuo wa bahari kwa mazoezi

  • | Citizen TV
    460 views

    Mamia ya wakaazi wa Malindi walijumuika katika eneo la Buntwani kaunti ya Kilifi kwenye zoezi la kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa mazoezi katika ufuo wa bahari