Mradi wa ujenzi waanzishwa shule ya upili ya Barotion

  • | Citizen TV
    248 views

    Changamoto za muda mrefu za miundombinu katika Shule ya upili ya Barotion, iliyoko kaunti ya Kericho zitakua historia kufuatia uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa Shilingi milioni 60