Mgogoro wa shamba la Embolioi: wanachama 300 wakataa uamuzi wa mahakama

  • | NTV Video
    87 views

    Wanachama 300 wamiliki wa shamba la kijamii la Embolioi lililoko Isinya kaunti ya Kajiado wametofautiana vikali na uamuzi wa mahakama ya Kajiado wa kutoa idhini ya kuendelea kwa ugavi wa ardhi hiyo ya ekari 200 ambayo imekuwa na mzozo wa muda mrefu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya