Je unajua kuwa Kunguru ni ndege werevu sana!

  • | BBC Swahili
    4,829 views
    Wanakumbuka sura za watu, hubeba kinyongo, hupanga maisha yao ya baadaye, na hata kutumia na kutengeneza zana ili kupata chakula! Na sio tu kutumia vijiti tu, kunguru wanaweza kutengeneza ndoano kwa mikono yao midogo kuhifadhi chakula Umeshawahi kushuhudia tukio lolote la ajabu la kunguru? Hebu tuandikie hapo chini! @elizabethkazibure - - #BBCswahili #Kunguru #Ndege #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw