Wakaazi walalamikia kuwepo kwa gumzo la siasa nchini

  • | Citizen TV
    78 views

    Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wameelezea wasiwasi wao kuhusu siasa zisizo na msingi zinazoendelezwa na baadhi ya viongozi wa upinzani, wakitaka wazingatie ajenda za maendeleo badala ya lawama zisizo na mashiko dhidi ya serikali.