Mashahidi zaidi wafikishwa mahakamani mjini Nakuru

  • | Citizen TV
    381 views

    Mashahidi watano zaidi wamefika mahakamani kwenye kesi ya kutoweka kwa mvuvi wa Nakuru Brian Odhiambo.