mamlaka ya IPOA yakana kumuondolea lawama Lagat

  • | Citizen TV
    2,587 views

    Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi IPOA, imekanusha kumuondolea lawama Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Eliud Lagat, kuhusu mauaji ya Albert Ojwang'.