Kinara wa DCP apinga hoja ya Raila ya mazungumzo

  • | Citizen TV
    2,874 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepinga pendekezo la kuanzishwa kwa mazungumzo mengine ya kitaifa, akisema serikali inafaa tu kutekeleza ripoti za awali za mazungumzo kabla ya kuanzisha mchakato mwingine.