"Talanta City Stadium itakamilika ifikapo Disemba" asema Waziri wa Michezo,Salim Mvurya.

  • | KBC Video
    32 views

    Waziri Salim Mvurya: Ujenzi wa Talanta City Stadium umefikia takriban asilimia 48. Tunafanya ukaguzi wa mara kwa mara na hatuna shaka kwamba itakamilika ifikapo Disemba. Tunatarajia mashabiki 60,000.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive