Orwoba aagizwa kulipa shilingi milioni 10.5 kwa kumchafulia jina katibu wa seneti

  • | KBC Video
    100 views

    Mahakama imemwagiza aliyekuwa seneta mteule wa chama cha UDA Gloria Orwoba kumlipa katibu wa bunge la seneti Jeremiah Nyegenye jumla ya shilingi milioni 10.5 kwa kumharibia jina. Katika uamuzi wake, Hakimu wa mahakama ya Milimani Ruguru Ngotho alisema taarifa alizotundika Orwoba katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshutumu Nyegenye kwa dhulma za kimapenzi zilimharibia jina, zilikuwa na nia mbaya, zilikosa ithibati na zililenga kuvuruga hadhi pamoja na taaluma yake. Hata hivyo, Orwoba ameapa kukata rufaa ya uamuzi huo katika mahakama kuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive