Murkomen akanusha uwepo wa kikosi maalum cha polisi

  • | KBC Video
    64 views

    Wizara ya usalama wa taifa inadhamiria kutoa mwongozo wa kisera kuhusu matumizi ya bunduki na maafisa wa polisi, kufuatia lalama kutoka kwa umma kwamba maafisa hao wanatumia nguvu kupita kiasi wanapokaboiliana na raia. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, amewaonya maafisa wa polisi wanaodaiwa kutumia nguvu kupita kiasi kinyume cha sheria kwamba watashtakiwa. Haya yanajiri huku waziri akikanusha madai ya kuwepo kwa kikosi maalum cha polisi kinachowahangaisha wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive