Bridgit Njoki wa miaka 12 aliyefariki baada ya kupigwa na risasi azikwa

  • | KBC Video
    1 views

    Huzuni na majonzi zilisheheni katika kanisa katoliki la Our Lady of Fatuma, lililoko katika eneo la Ndumberi kaunti ya Kiambu wakati familia, ndugu na jamaa walipokusanyika kwa ibada ya wafu ya Brigit Njoki. Njoki mwenye umri wa miaka 12 alifariki baada ya kupigwa na risasi iliyopenya na kuingia nyumbani kwao wakati polisi walipokuwa wakikabiliana na waandamanaji wakati wa maadhimisho ya siku ya Sabasaba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive