Cheti cha kuzaliwa ni sharti kwa NEMIS, lakini taratibu ngumu huwakatisha tamaa wazazi -Christine

  • | TV 47
    4 views

    "Ili mtoto asajiliwe kwenye mfumo wa NEMIS, ni lazima awe na cheti cha kuzaliwa. Maafisa hawa wanatumia hitaji hilo kama mwanya. Mtoto anapofikisha umri wa miaka mitano bila cheti cha kuzaliwa, anapaswa kukipata. Hata hivyo, taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa ni ngumu kiasi kwamba wazazi wengi hukata tamaa." -Christine Akello, Mshauri wa Elimu

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __