Wakazi wa Lower Kuja wataka kufidiwa kwa ardhi iliyotwaliwa 2019

  • | KBC Video
    14 views

    Kikao cha mahakama tamba katika kaunti ya Migori kubaini hatma ya familia 53 zilizoondolewa mwaka 2019 wakati wa kuzindua mradi wa unyunyizaji mashamba maji wa Lower Kuja kilighubikwa na kizaazaa baada ya shahidi mkuu katika kesi hiyo kukataa kutoa ushahidi akidai mazingira yasiyofaa ya mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive