Mama na mwanawe waangamia katika ajali ya trela na matatu

  • | TV 47
    377 views

    Mama na mwanawe waangamia katika ajali ya trela na matatu.

    Ajali yatokea eneo la Ngata, barabara ya Nakuru–Eldoret.

    Trela lagongana ana kwa ana na matatu ya abiria 14.

    Shughuli za uokoaji na kutoa miili kutoka vifusi zinaendelea.

    Polisi waanzisha uchunguzi, madereva waonywa kuwa waangalifu.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __