Mbadi ahimiza tume ya IEBC kupunguza matumizi ya fedha

  • | Citizen TV
    238 views

    Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi ameitaka tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kutumia bajeti yake ipasavyo na kupunguza gharama ya matumizi ya kuandaa uchaguzi mdogo, akisema kwa sasa gharama hiyo iko juu sana.