Viongozi wa upinzani watangaza hofu ya njama za kuiba kura

  • | TV 47
    745 views

    Viongozi wa upinzani watangaza hofu ya njama za kuiba kura.

    Wadai kuna mikakati iliyopangwa kuvuruga uchaguzi 2027.

    Vitambulisho vinaripotiwa kupotea katika ofisi za serikali.

    Wito wa uchunguzi wa kina kutolewa kabla ya uchaguzi.

    Wapinzani: Haki ya wananchi kupiga kura ni lazima ilindwe.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __