Wadau wataka hatua kali kukomesha ukeketaji unaoongezeka Pokot Magharibi, Baringo na Elgeyo Marakwet

  • | TV 47
    33 views

    Pokot Magharibi, Baringo, Elgeyo Marakwet zaongoza kwa visa vya ukeketaji.

    Viongozi wa dini waonya kuwa visa vinaweza kuongezeka wakati wa likizo.

    Wakazi waombwa kushirikiana kukabili dhuluma dhidi ya wasichana.

    Serikali inalenga kukomesha ukeketaji kabla ya mwaka wa 2030.

    Umaskini na mila potofu vatajwa kuchangia ongezeko la visa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __