Wamaasai waandaa tamasha ya kitamaduni Kajiado

  • | Citizen TV
    310 views

    Jamii ya wamaasai wametambuliwa kuenzi na kulinda mila zao tangu jadi. Jamii hii kutoka maeneo tofauti kaunti ya kajiado wamekutana eneo la purko kajiado ya kati , katika mashindano ya maonyesho ya nyimbo,densi na mapambo ya mavazi.