Wakazi wa loruko wafurahia huduma karibu nao

  • | Citizen TV
    121 views

    Wakazi wa loruko samburu kaskazini, wanakila sababu ya kutabasamu baada ya uzinduzi wa zahanati eneo hilo.