Kinamama wakongwe Nandi wajiboresha kiafya kwa kucheza kandanda

  • | NTV Video
    119 views

    Zaidi ya kinamama 50 wenye umri wa miaka 60 wanaendelea kufanya mazoezi ya kucheza soka kila wikendi, katika uwanja wa shule ya msingi ya Kapkangani kaunti ya Nandi kama njia mojawapo ya kujiboresha kiafya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya