Maandamano 7 yaliyotikisa Afrka

  • | BBC Swahili
    1,238 views
    Je unajua Maandamano ya mswada wa fedha - Kenya (2024) ni miongozi mwa Maandamano yaliyowahi kutikisa Afrika na kuacha alama Africa? Maandamano yamekuwa silaha muhimu barani Afrika, yakitumika na raia kuonyesha kutoridhika, kudai haki, na kushinikiza mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw