Je nyimbo za sasa zina beba ujumbe kama ilivyokuwa zamani?

  • | BBC Swahili
    224 views
    Banana Zorro ni msanii maarufu wa muziki Tanzania, anayejulikana kwa miondoko ya Afro-Soul, Rhumba, Bongo Flava na R&B. Amewahi kutamba na nyimbo mbalimbali zilizobeba ujumbe kama vile Zoba, Nzela, mama na sasa hivi anatamba na wimbo wa Life alioimba na bendi yake ya The B Band. @bananazorro atazungumzia hili mubashara na @regina_mziwanda muda mfupi kutoka sasa kupitia ukurasa wa BBCSwahili wa Youtube, facebook na TikTok. #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw