Dhulma za mwalimu Kaplong

  • | Citizen TV
    150 views

    Shule ya wasichana ya Kaplong imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuzua vurumai wakilalamikia kudhulumiwa kingono na mwalimu mmoja wa kiume.