Wakazi wa Jomvu waibua wasiwasi kutokana na madai ya vitisho kutoka kwa wahuni kuhusu mzozo wa ardhi

  • | KBC Video
    78 views

    Wakazi wa Vikobani katika kaunti ndogo ya Jomvu, kaunti ya Mombasa, wameibua wasiwasi kuhusiana na madai ya vitisho na unyanyasaji kutoka kwa wahuni kuhusiana na mzozo wa umiliki wa ardhi. Mengi zaidi ni katika mseto wa kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive