Upasuaji wa Susan Njoki wabaini alinyongwa

  • | Citizen TV
    6,292 views

    Matokeo ya upasuaji wa maiti ya Susan Njoki aliyepatikana akiwa amefariki katika hospitali ya Chiromo imedhibitisha alinyongwa. Kulingana na madaktari wa upasuaji Njoki alifariki siku moja baada ya kuchukuliwa kutoka nyumbani kwake na maafisa wa hospitali ya Chiromo.