Athari za mabadiliko ya tabia nchi: Kina cha bahari kimepanda, maji ya chumvi mashambani Pwani

  • | NTV Video
    60 views

    Kina cha bahari kimekuwa kikipanda taratibu na sasa maji ya chumvi yanapenya katika mashamba , vyanzi vya maji safi na maeneo ya kuzalia samaki , wataalamu wakisema hali hii huenda ikaathiri pakubwa usalama wa chakula, maisha ya baharini na viumbe vyake, na maisha ya maelfu ya watu wanaotegemea baharin kupata riziki.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya